Search

16 results for Hellen Hartley :

  1. Queen mwanadada 'anayeupiga mwingi' tasnia ya sauti Marekani

    Mara nyingi tunajikuta tukivutiwa na waandaaji wa vipindi mbalimbali vya televisheni na utoaji wa tuzo, lakini je umewahi kujiuliza kuhusu watu binafsi wanaotangaza washiriki kabla hawajapanda...

  2. Familia yasema kifo kimegonga mlango ‘Costa Titch’

    Nchi ya Afrika Kusini imepata pigo lingine la kumpoteza msanii Costa Titch ikiwa ni mwezi mmoja tangu kutokea kifo cha Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA kwa kupigwa risasi na watu...

  3. Sababu Wafanyabiashara kukimbia masoko mapya

    Wakati Mamlaka za Mkoa wa Dar es Salaam zikipambana kuwaondoa wafanyabiashara ndogo katika maeneo yasiyoruhusiwa, yapo masoko mapya yaliyojengwa kwa nyakati tofauti, lakini hayatumiki.

  4. Chadema yatia mguu zuio uuzwaji sukari, mchele nje ya nchi

    Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya kina juu ya...

  5. Zitto Kabwe atoa mapendekezo muswada wa bima ya afya kwa wote

    Kauli ya Zitto inakuja saa chache kabla ya kuanza kwa vikao vya Bunge ambapo miongoni mwa miswada inayotarajiwa kuwasilishwa katika Mkutano wa 10 unaoanza kesho jijini Dodoma, ni muswada wa bima...

  6. Mtanzania aliyefia vitani akitetea Urusi aagwa, aacha mtoto mmoja

    Mwili wa Nemes aliyefia vitani tangu Oktoba 24,2022 uliwasili alfajiri ya kuamkia leo Januari27, 2023 nchini kutokea Russia na kufanyiwa ibada nyumbani kwake Mbezi kwa Mzungu, Dar es Salaam kabla...

  7. Chadema yamlilia Mtanzania aliyefia vitani akiitetea Russia

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kada wake, Nemes Tarimo aliyefia vitani nchini Ukraine akitetea masilahi ya Russia, atakumbukwa kwa harakati za kutafuta uhuru, haki na...

  8. Mwili wa Mtanzania aliyefia vitani Urusi wawasili nchini

    Hata hivyo baba yake mdogo, Dickson Tarimo amethibitisha kuwasili kwa mwili wa marehemu Tarimo (33) na kueleza kwamba umepelekwa moja kwa moja Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuhifadhiwa.

  9. Dully Sykes kutumia saa 2 jukwaani Tamasha la Deiwaka World

    Dully ataimba laivu, akipewa sapoti na baadhi ya wasanii akiwamo Sugu, ambaye alifafanua kwamba kwenye tamasha hilo, mwanamuziki ambaye atapewa fursa ya kufanya shoo utakuwa ni usiku wake kama...

  10. Mwili wa Tarimo kuwasili Januari 26

    Nemes aliyekuwa akisoma nchini Russia aliuawa Oktoba 24, 2022 wakati akiwa vitani Ukraine akipigana kuisaidia Russia kupitia kundi la Wagner.

Page 1 of 2

Next